Revelation of John 6:1

Mwana-Kondoo Avunja Lakiri Saba

1 aKisha nikaangalia wakati Mwana-Kondoo akivunja ile lakiri ya kwanza miongoni mwa zile saba. Ndipo nikasikia mmoja wa wale viumbe wanne wenye uhai akisema kwa sauti kama ya radi: “Njoo!”
Copyright information for SwhKC